Saturday 18 August 2012

kwanini manahodha wa arsenal wanaongoza kwa kuuzwa?

Swali ambalo limekuwa nikijiuliza mimi binafsi kwa muda sasa na bila kupata majibu, pia si mimi pekeyangu bali hata baadhi ya wadau wa soka nao wanajiuliza ususani washabiki na wapenzi wa arsenal;
'ivi ni kwanini manahodha (captains) wa timu ya arsenal huwa awakai sana kwenye timu lazima wauzwe??
kama mfuatiliaji wa soka vilevile mpenzi wa Arsenal utagundua hili, mfano;
  
  

No comments: