Monday 20 August 2012

jembe linalokuja kwenye game kwa kasi kutoka moro-town


anaitwa Nassibu Ally anafahamika Nassa kwa jina la kisanii, ndio jembe linalotegemewa na kutarajiwa kubamba kwenye game ya bongo fleva siku za usoni. Kama ilivyoanza kwa kichwa kinachoiwakirisha vyema hivi sasa Moro-Town (Belle 9) alivyokuja kuiteka game ya bongo fleva. Kwa uwezo wa sauti, kuandika mistari yenye ujumbe mzuri, kulalamika vizuri kwenye beat za ngoma zake ndio vinavyoteka nyoyo za baadhi ya mashabiki waliopata time ya kumsikiriza. Amefanya baadhi ya ngoma (tracks) ikiwemo: Nivumilie,Mastaa,Noreen na nyingene nyingi, baadhi ya ngoma zimejitahidi kufanya vizuri japo si saaana kwa imani kwamba nafasi yake bado ila ikifika watamuelewa tu.
Kama hujapata kusikiliza na kuona baadhi ya ngoma zake chek na hizi:





No comments: