Monday 7 May 2012

Star aliye na account facebook

Ricardo Emmanuel Brown waweza muita Kurupt kama ajulikanavyo na wengi, pia waweza muita Kurupt Tha Kingpin, Kurupt Young Gotti au Young Gotstra ni rapa wa Kimarekani pia ni miongoni mwa waanzilishi wa Death Row Recods akiwa kama Makamu . Pia amewahi kuwa member wa The Dogg Pound lilijumuisha wakali watatu kama Snopp Dogg na marehemu Nate Dogg. Vilevile amewahi kuwa member wa  hip-hop supergroup The HRSMN.
Rapa huyu naweza sema ndiye superstar wakwanza miongoni mwa wale WORLD STARS kuwa na account kupitia mtandao wa kijamii ujulikanao kama Facebook. Naweza sema ni maajabu kana kwamba wengi wao huwa na pages tu, na sio account kama za watu wa kawaida, na wengi wao wanachat kupitia Twitter.
Hii ni link yake kupitia facebook
https://www.facebook.com/Kurupt1andonly
Background information
Born November 23, 1972 (age 39)
Philadelphia, Pennsylvania, U.S.
Origin Hawthorne, California, U.S.
Genres Hip hop
Years active 1992–Present
Labels Death Row
(1992 - 1998)
(2002 - 2005)
Antra
(1998 - 2011)
Interscope
(1992 - 1995)
D.P.G
(2005 - 2010)
Gangsta Advisory
(2005 - 2011)
Babygrande/Doggystyle
(2006 - 2009)
Bogish Brand Entertainment
(2006 - 2010)
Kurupt kushoto akiwa na wakali wa enzi hizo kama
2pac na Snoopy

No comments: