Tuesday 1 May 2012

STAMINA, LINEX NA O-TEN JUKWAA MOJA

Tarehe 05-05 jumamosi hii kutakuwa hapatoshi
mji kasoro ndani ya ZE CLUB, ambapo wakali
watatu LINEX, O-TEN na STAMINA
kuwasha moto jukwaa moja kwa kiingilio cha
7000/= mlangoni na 5000/= kwa awali.

No comments: