Tuesday 1 May 2012

kwa wale designers wa mavazi

THE FASHION GALA DESIGNERS: 
Wakali wa kudisegn mitindo mbali mbali ya mavazi walioweza shiriki maonesho mbali mbali, wanatoa nafasi kwa disegners yeyote kuonesha mitindo yake kwenye onesho litakalofanyika tar 19-05 chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) maeneo ya social science...Hivyo kwa yeyote mbunifu wa mavazi awasiliane kupitia no. 0713-131775, 0714-572287
Pia waweza niinbox kupitia facebook...WELCOME

No comments: