wanajeshi wa JWTZ wakijitahidi kuzima moto uliokuwa ukiunguza nyumba(kota) za wanajeshi ambapo chanzo cha ajali hiyo ilisemekana ni shoti ya umeme iliyosababishwa na kuwaka na kukatika mara kwa mara
Gari la zima moto lilifika baada ya saa moja toka moto uanze kuungua katika makazi ya wanajeshi hao katika kambi ya Lugalo,kama inavyoonekana pichani baadhi ya vitu vimeokolewa na wanajeshi wa JWTZ
No comments:
Post a Comment