Saturday 5 November 2011

JK AMTEMBELEA VENGU HOSPITAL

 
Rais J.K Kikwete amtembelea na kumjulia hali kijana wa kikundi cha Ze Comedy,
Joseph Shamba almaarufu Vengu kinachorushwa hewani na TBC1

1 comment:

Harry said...

Duuuh,jamaa kasinyaa kinoma.