Mtu mzima Juma Nature akikinukisha na wanae "Dollo na Rich one"
msanii kutoka kenya "Nameless" akikonga nyoyo wana wa Dodoma
Msanii anayeibeba Sinza "Man Sulee" kama kawa akimpa support Jay Moe
Mizuka kama kawa huwa haikosekani jombaa
Mtu mzima Diamond akiwapa ladha
Young Babelon or Mr. Blue akikisanua
Bagdady akiwa na Barnaba
umati wa watu walioudhulia show
P -Unit wakiburudisha jukwaani
Kama kawa tukikodolea show
Hapa wana wakishow luv
One memory to me since we made stories with Byser
@ 84 club
No comments:
Post a Comment