Thursday 4 August 2011

KUMBE WANA'COPY TOKA HUKU!!

Swala zima la fashion huwa linatoka mbali sana. Sasa ebu chek fashion hii ya sasa wanayotupia matozi a.k.a masharobaro walikoitoa
aina mojawapo ya mahindi
 Cabo Snoop miongoni mwa watupia swagga hizo

No comments: