Friday 15 July 2011

IS SHE A BITCH OR SWAGGA??

Nadhani waliowengi mnamjua mwanadada Amber Rose ambaye ni Model by professional, aliyekuwa mke wa rapper na producer namzungumzia Kanye West.
Aliachana na Kanye West baada ya kubainika kuwa Amber anaskendo za u'bicth au umalaya baada ya Kanye kuthibitisha hilo kupitia gazeti maarufu lililotoa picha za utupu za Amber.
 Amber kwenye moja ya mgazine
 Amber on pozi
 Kissing with Wiz Khalifa
 Kissing with Wiz Khalifa
Kissing with Kanye
Swali lililokichwani mwa wapenzi na wadau wa music duniani ni kwamba 
"Amber Rose ni malaya au ni moja ya style ya maisha anayoitumia kujizolea umaarufu??"
Kwani hadi ivi sasa kashatembea na mastar zaidi ya watano ukiachilia mbali wanaume wakawaida wasio na majina makubwa duniani.

No comments: