
kwa mwendo huu majotroo yatoke wapi
ilikuwa raha yakutosha show ilifana hasikwambie mtu...wasanii waliimba kwa hisia zote sababu ya support kubwa iliyokuwepo toka kwa mashabiki...ilikusanya takribani ya watu 20000.
Pongezi za kutosha kwa waandaaji wa show kwa kweli wamejitahidi sana kuwapa wakazi wa mji kasoro burudani hisiyo kifani.
nipo na Baboo
with ma fan Dj Choka
show luv with Linnah


zilikuwa stories kabla mwanakwetu "belle 9"
hajakinukisha kwa stage

Belle 9 akidondosha ladha pale kati



niko na wana tukicheki show




zilikuwa stories kabla mwanakwetu "belle 9"
hajakinukisha kwa stage

Belle 9 akidondosha ladha pale kati

Jembe liki'drop kwa stage after makamuzi
Diamond akijiandaa kutoa ladha kwa mashabiki

No comments:
Post a Comment