Thursday 27 January 2011

WHO SAID HIP-HOP IS DEAD?

BET hivi karibuni imeripoti habari juu ya ujio wa rapper wa zamani kidogo "MYSTICAL" aliyesumbua miaka ya 2000 na kibao chake cha Danger. Hivi sasa anakuja na album yake mpya aliyoipa jina la "BEST RAPPER IALIVE"
Wasanii wengine wanaotarajia ku'release album mwaka huu"2011" ni Snoop Dogg na album aiitayo "DOGUMENTARY" ambayo ataiachia march 11
na Lloyd anatarajia kutoa album yake aiitayo "THE KING OF HEARTS" ataiachia march 22

No comments: