Wednesday 26 January 2011

KWA HERI 'MR. UNIVERSITY' WA DODOMA

Zimebaki takribani siku tatu kufanyika kwa Mr na Miss Higher leaning of Dodoma, ambapo itafanyika ijumaa hii ya tarehe 28 Kiliman Hall. Mwaka jana kwa Mr alijichukulia taji kijana toka chuo cha mipango Dodoma, na kwa wanadada alichukua mwanadada kutoka Udom.
Hivyo basi kwa niaba ya wanafunzi wote wa chuo cha Mipango na uongozi wote kwa ujumla tunamtakia kila la heri bwana Maximillian Killian

No comments: