Saturday, 22 February 2014

Picha:Kagame aungana na wananchi wa Rwanda kujenga makazi yao

Rais wa Rwanda, Paul Kagame ameungana na wananchi wa Rwanda ambao ni wakazi wa Masaka huko Umuganda kuweza kujenga makazi ambayo yatakuwa na manufaa kwa wakazi wa eneo hilo.


No comments: