Mnamo mwaka 2009, April
Mnamo mwaka 2014, February
Hili ni eneo lijulikanalo kama "INDEPENDENCE SQUARE" lililopo huko Ukrain...katika picha hizi mbili tofauti zinaonesha hapo awali picha ya kwanza-juu (April, 2009) ambapo wanafunzi walisherehekea kwa kucheza michezo mbalimbali na picha ya pili-chini ni hivi sasa (Alhamis, February 2014) ni tukio lililoharibu eneo hilo baada ya Serikali kujaribu kutumia nguvu zake kuweza kutuliza ghasia zilizojili eneo hilo.
No comments:
Post a Comment