Mkali toka City without Ocean "Moro-Town", Belle 9 amefunguka kupitia mtandao wa instagram na kuweka wazi kuwa Young Dar es salaam ni mmoja wa wakali anaoelewana nao sana mbali na kuwa kwenye maisha ya muziki pia wamekuwa marafiki wa karibu sana wanaoweza kuelewana kwa namna yeyote ile.
Pia Belle 9 amekuwa na sifa ya pekee ya kutokuwa na uhasama/bifu zisizo na maana kama wafanyavyo wasanii wengine... Awali alishawahi kili kuwa kwenye list ya wakali ambao anawaelewa hususani kwenye game ya muziki ni wengi ila Ben Pol akiwa nafasi ya juu kwenye list hiyo.
No comments:
Post a Comment