Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe
la msingi la upanuzi wa Uwanja wa Ndege
wa Bukoba jana Julai 24, 2013.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe
kuzindua upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Bukoba

Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha
ya pamoja na viongozi wengine pamoja na
wadau mara baada ya uzinduzi wa uwanja huo
No comments:
Post a Comment