
Treni iendayo mwendo kasi imepata ajali huko Kaskazini Magharibi huko Hispania
ambapo inaaminika watu wapatao 20 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa
kati ajali hiyo ya treni la abiria lililobeba takribani abiria 200 waliokua wakisafiri.
Moja ya mabehewa limeonekana likiwa linawaka moto na jingine kukatika
katikati kwenye eneo la ajali hiyo karibu na Santiago De Compostela
ambapo ilikua ikisafiri kuelekea Ferrol Kaskazini Magharibi mwa Hispania.
No comments:
Post a Comment