Friday, 23 September 2011

MH. KIKWETE AND 50-CENT @US

Mh. Jk na 50 cent
Sijajua ilikuwa nimoja ya ishu alizofata US kwenye ziara ya wiki au lah, au ndio moja ya michakato kwenye kutaka misaada. Lakini ni picha ya kweli na sio ya ku'edit ikizihirisha ni jinsi gani Mh. yuko interested na Music.