Mipango Youth and Hiv Aids Constitute (MYHAC), Ni kikundi kinacho jihusisha na masuala ya vijana na kutoa elimu juu ya Ukimwi. Hivyo basi wameanzisha BONANZA ikiwa na maana ya mashindano ya michezo mbalimbali kwa dhumuni la kuwakutanisha vijana wote hususani wanachuo wote wa Dodoma wakiwemo UDOM, MIPANGO, St. JOHN, CBE, CAPITAL, HOMBOLO, MADINI na pia hata kwa wanafunzi waliokuwa masekondari na shule za msingi. Bonanza hilo ambalo litajumuisha michezo yote wanayoipenda vijana ikiwemo Basketball, Football, Netball, Tenis, Kuimba na Kushindana kucheza musiki, kukimbia, kuruka kamba na michezo mingeneyo..Pia kutakuwa na hotuba kuhusu masuala ya UKIMWI, baada ya hapo kutakuwa na musiki wapamoja. Kiingilio ni bureeeeeeeeeeeeee kabisa nyote mnakaribishwa!!!! @ Miyuji Campus - Mipango University. Tarehe 1/11/2011.
Ukisoma na kuelewa ujumbe huu, mtaarifu na mwenzio.
Kama kutatokea marekebisho yoyote au taarifa zozote mtataarifiwa, tembelea blog hii mara kwa mara.
Kama kutatokea marekebisho yoyote au taarifa zozote mtataarifiwa, tembelea blog hii mara kwa mara.