Ukifuatilia kwa umakini utakuta wanamuziki wengi wa miondoko ya hip hop marekani wamepitia jela.Ukianza na wakongwe kama 2pac, Notorious B.I.G,DMX, T.I, 50CENT, The Game,Weezy, Gucci Mane, Syne,Mystikal na wengine wengi..
Je, nikweli kwamba kila HUSTLER lazima apitie jela?
Nazani hili ni swali la wapenzi wengi wa musiki wa hip hop duniani..so jaribu kufikiri halafu utakubaliana nami
No comments:
Post a Comment