Monday, 20 December 2010

SHOW YA TTCL KILIMAN HALL - DODOMA

Mnyamwezi Belle 9 akiburudisha mashabiki

Mwana FA aka 'THE DON'
Fid Q aka Ngosha Ze swagga Don
Benjamini wa mambo jambo
KR aka mziki mkubwa CD 700
Mnyamwezi niki'show love na waandaaji wa show hiyo iliyofanyika ukumbi wa Kilimani Dodoma
Nipo na dogo akishow love na mnyamwezi
Mnyamwezi mie, Ngosha na FA..tulikuwa tunamshangaa KR anavyokata mapanga wakati Chege na Temba wakiburudisha
Belle 9 na Cege waki'discuss issue

Show hiyo ambayo ilionekane kutokufana sana sababu ya uchache wawatu..ilifanyika jumamosi ya tarehe 18/12 ndani ya ukumbi wa Kilimani Hall - Dodoma..Ilikuwa ni moja ya promotion ya kampuni ya simu ya TTCL

No comments: