Ni baadhi ya matukio yaliyojili kwenye mahafali ya Chuo cha mipango Dodoma yaliyofanyika tarehe 17 Dec,2010 kwenye ukumbi wa nyerere hall chuoni hapo, mahafali hayo yalijumuisha wahitimu wa cheti na wahitimu wa mwaka wa tatu. Mgeni rasmi alikuwa Ndg. Mustaapha Mkulo (waziri mstaafu wa fedha na uchumi)
No comments:
Post a Comment