Tamasha la music lijulikanalo kama streight music inter-college bash linalofanyika kila mwishoni mwa mwaka kwa zumuni la kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza vyuoni likzaminiwa na SM. Tamasha hilo lilitia fola baada ya polisi wa doria kuingia katikati ya mashabiki na kuwatawanya.
Polisi walisema kuwa wameenda kinyume na kibari walichopewa cha kuishia saa sita kamili za usiku na kwendelea hadi saa nane za usiku, polisi waliingia kwa fujo ukumbini hapo huku msanii wa Hip Hop Joh Makini akiwa anatumbuiza, Joh aliacha kutumbuiza na kuweka mick chini na kukimbia. Wahusika wa tamasha hilo hawakuweza kuonekana wala kutoa maelezo yoyote yale hadi watu wanaondoka ukumbini hapo..
No comments:
Post a Comment