Monday, 29 November 2010

VIJANA WATUA BONGO

Ni kwenye tamasha la straight music-inter-college  bash 2010 lililomalizika jijini Dar-es-salaam jumamosi ya tarehe27. Tamasha hilo lililopambwa na wanamuziki wa kizazi kipya wakiwemo Joh Makini, Chege Chigunda, Sheta, Sam, C pwa, Ngosha ze Don, Mwana FA, Michael Ross na wanamuziki kutoka nje kama Gyptain na T-Pain..
Wanamuziki wote walifanya vizuri lakini waliofana zaidi ni wale wakongwe wa miondoko ya HIP HOP wakiwemo Mwamba wa kaskazin(Joh Makin), Ngosha Ze Swagga Don(Fid Q),na Mwana FA..Tamasha hilo lilianzia mkoani Morogoro na kisha kuelekea Dodoma na kumalizika jiji Dar-es-salaam

No comments: