Wednesday, 13 October 2010

TIMU YA TAIFA YA NIGERIA KUFUNGIWA SOCCER




hatimae shirikisho la soccer dunian (FIFA) yaifungia timu ya taifa ya nigeria baada ya nchi hiyo kuingiza mambo ya siasa kwenye soccer..Timu hiyo ambayo miaka ya nyuma ilikuwa tishio kwenye soccer miongoni mwa timu hatari Africa pia ndiyo timu anayochezea yule aliekuwa kinara wa Arsenal 'Nwanko Kanu' aliyetangaza kustaafu soccer baada ya world cup 2010

No comments: