Monday, 13 September 2010

CHRISS AJILIZA KINAFIKI BET AWARDS

Mwimbaji wa miondoko ya RnB "Chriss Brown" kijana mwenye miaka 21 alionekana mwenye huzuni alipokuwa aki'perform' jukwaani wimbo wa "MAN IN THE MIRROR" kwenye tuzo za BET mwaka huu"2010" zilizofanyika julai 27...lakini ukweli ni kwamba jamaa alijihuzunisha na kujiliza kinafiki yaani hakuwa na machungu yoyote yale, inasemekana alikuwa akimkumbuka mfalme wa pop duniani "Michael Jackson"..

No comments: