Friday, 13 August 2010

FERGUSON KUFANYA USAJILI

Kocha wa Man United kumsajili streka wa Kireno Victoria Guimaraes Tiago Manuel Dias Correia almaarufu kama BEBE..anasajiliwa kwa pound million 7 za Uingereza..

Mhambuliaji huyo anaetarajiwa kufanya maajabu Uingereza msimu ujao..

No comments: