Wednesday, 11 August 2010

KANYE WEST KUPAFORM MTV-VIDEO AWARDS

Rapa maarufu nchini marekani 'Kanye West' baada ya kupewa shavu kwenye BET Awards, pia amepewa shavu la kupaform kwenye MTV Awards

No comments: