Hapo Leaders Club patawaka moto pale wakazi wa Dar watapojipangusa na wasanii kutoka nje yaani Lil Kim, Bracket na wasanii kutoka nchini Ivor Coast wanaokuja juu na wimbo wao wa Alagi. Hivyo wakazi wa jijini Dar es saalam wameombwa wakae mkao wa kula.
No comments:
Post a Comment