Wednesday, 16 June 2010

WE NAWE UMEZIDI MBWEMBWE!

Mshambuliaji mashuhuli wa Real madread jana kala kadi ya njano kwenye mechi kati ya Ureno na Ivory coast. Ambapo walishindwa kuoneshana ubavu baada ya kutoka droo

1 comment:

Unknown said...

its nyc, passby ur words spellings lakini!!!