Kanye West ni miongoni mwa wasanii watakao perform kwenye Tuzo za BET juni 27, West pia amependekezwa kwenye Tuzo hizo kwa upande wa 'the best collaboration' kwenye "Forever" ya Drake wakiwa na mzee mzima Lil Wayne na Eminem, na kwenye video bora ya mwaka "Run This Town" ya Jay - Z na Rihanna
No comments:
Post a Comment