Monday, 23 February 2015

Chege akanusha madai ya kuvaa irizi stejini

Msanii Chege Chigunda kutoka katika kundi la Wanaume Family amekanusha tetesi zinazozagaa mitaani juu ya picha yake ambayo inaonekana amevaa kitu kama hirizi katika mkono wake wa kushoto na kusema kuwa siyo hirizi bali alivaa katika msiba wa msanii Mez B.

Amesema;.."Ushamba+roho mbaya+uandishi bila kusomea ni hatari sana hahaaahahahahahhaa eti waandishi magumashi wanadai nimevaa hirizi hahahhaaaaa hii tulivaa juzi dodoma siku ambayo alifariki msanii mwenzetu marehemu Mez B,msiwe vimbele mbele"

No comments: