Msanii Chege Chigunda kutoka katika kundi la Wanaume Family amekanusha
tetesi zinazozagaa mitaani juu ya picha yake ambayo inaonekana amevaa
kitu kama hirizi katika mkono wake wa kushoto na kusema kuwa siyo hirizi
bali alivaa katika msiba wa msanii Mez B.
Amesema;.."Ushamba+roho
mbaya+uandishi bila kusomea ni hatari sana hahaaahahahahahhaa eti
waandishi magumashi wanadai nimevaa hirizi hahahhaaaaa hii tulivaa juzi
dodoma siku ambayo alifariki msanii mwenzetu marehemu Mez B,msiwe
vimbele mbele"
No comments:
Post a Comment