Tuesday 5 August 2014

Kelly Rowland akaribia kujifungua

Hii ndio hali aliyonayo kwa sasa mwanadadashosti Kelly Rowland aliyewahi kuwa member wa kundi lililosumbua miaka ya 2000's Destiny Child akiwa sambamba na mwanadada Beyonce.
Kelly mimba yake imefikia kiwango cha kujifungua muda wowote kuanzia sasa, ambapo anatarajia kupata mtoto wa kike baada ya kupiga utrasound na kujua ni mtoto wa kike

No comments: