Monday 18 August 2014

Happy anniversary Amber & Wiz

Hatimaye Amber Rose na mnyamwezi Wiz Khalifa watimiza mwaka mmoja na kuamua kujipongeza wakiwa na mtoto wao mpenzi "Sebastian Khalifa".
Mbali na kuachia album yake ya tatu aliyoipa jina la " Blacc Hollywood" siku ya jumanne, mtu mzima Wiz Khalifa ndani ya wiki hii ameweza kusherehekea "A Happy Anniversary" kwa kutimiza mwaka mmoja wa ndoa yao na bidada Amber Rose.

Alichopost Wiz Khalifa kwenye ukurasa wake wa facebook;

Hiki ndicho alichokiandika mwanadada Amber Rose kwenye account yake ya Instagram; "“Today was the day we said our vows before God and our Family. I knew as soon as I met u, u were the one for me sweetheart. Happy 1 year anniversary @mistercap and many more to come.” na ku'post picha yao ya pamoja "familia" wakati wa ndoa yao.

No comments: