Thursday 3 July 2014

Ujio mpya wa kijana toka Moro-Town

Kijana aliye na uwezo mzuri katika utunzi wa mashairi, Shebby Bei mbaya...anakuja kwa style mpyaaa, hivyo anapenda kuwakalisha mkao wa kura wadau na wapenzi wa muziki. Jiwe hilo limekamilika na liko njiani kuachiwa likiwa limelenga mazingira halisi ya kiafrika na namna mapenzi yanaweza dondoka sehemu yeyote ile.

Ngoma inaitwa "BWERERE" akiwa amemshirikisha Nasri na ni kutoka kwenye mapishi ya producer Tweezy ndani ya Hits Beatz Studio

No comments: