Monday 7 July 2014

Kitambo hiyo ya leo"Dina Marious"

 
 Dina Marious TBT 2005
Natumaini wengi wenu mnamjua au kumsikia huyu dada anayeendesha kipindi cha "LEO TENA" pale mjengoni (Clouds FM), Dina Marious..leo tumeibamba picha yake ya kitambo hiyo akiwa na zile swagga za kipindi hicho.
Dina akiwa kwenye muonekano wa sasa

No comments: