Monday 23 June 2014

Picha:"Kitambo hiyo" ya leo

Natumai umewahi kusikia kuwa kuna msanii wa bongo fleva hususani kutoka pande za temeke...amewahi kuwa askari jeshi kabla hajajikita kwenye kazi hiyo anayofanya kwa sasa. Msanii huyo ni Mh. Temba...kupitia session yetu ya "kitambo hiyo" imeibamba picha yake wakati akiwa mtumishi wa jeshi la TZ miaka kadhaa iliyopita.

1 comment:

Anonymous said...

Acheni kupotosha uma hajawahi kuwa mtumishi wa jeshi la tanzania ila alijitolea kwenye jeshi la kujenga taifa JKT....