Monday 2 June 2014

Picha ya demu wa Young Killa iliyozua mtata

Picha hizi zimezua gumzo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya aliyesemekana kuwa ni demu wa Rapa anaechipukia kutoka jijini Mwanza "Young Killa Msodoki" kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapa huyo ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa kufanya haya.
SOURCE" Hassbaby Blog

No comments: