Friday 6 June 2014

June 6,1998 "The boy is mine" ilishika No.1 Us singles chart

Kutoka kwenye "Today in Music History" wameriport kuwa wimbo wa "The Boy Is Mine" uliofanywa na Brandy akiwa na Monica, mnamo mwaka 1998 mwezi na tarehe kama ya leo June 06, uliweza kusumbua kwa takribani wiki 11 kwa kushika No. 1 katika chati za Single bora Marekani.

No comments: