Thursday 5 June 2014

Dr.John wa Wagosi aendelea vizuri

Taarifa tulizopokea leo ni kwamba maendeleo ya mmoja wa wanaounda kundi la "WAGOSI WA KAYA", Dr. John yako swadakta kwa sasa baada ya kupata ajali ya pikipiki na kuumia sehemu ya miguu na kusababisha kuwekewa PIOP. Kwa mujibu wa jamaa ake wa karibu sana na Mgosi huyo "MKOLONI" amesema jamaa anaendelea vizuri ila tuzidi kumuombea Dr. John azidi pata nafuu.

No comments: