Thursday 8 May 2014

Picha ya Willow na njemba iliyoleta utata

Hii ni picha iliyosambaa kwenye mitandao mingi ya kijamii na kuleta utata zaidi kwa wapenzi na wadau wakubwa wa mtoto huyo wa star "Will Smith" na "Jada Pinket", Willow Smith baada ya kupiga picha na Mcheza filamu "Hanna Montana" mwenye umri wa miaka 20 wakiwa kwenye kitanda.

Kwa mujibu wa MTV wameripot kuwa kitendo hicho ambacho kimeoneka kuwa ni gumzo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, hakikuwalazimu wazazi wa mtoto huyo "Willow Smith" mwenye umri wa miaka 13 kukasirika au kuonesha kukerwa na kitendo hicho, kwani wanaona kama moja ya mazingira ya kazi za mtoto huyo kwakuwa mbali na kuwa mwanamuziki Willow pia ana'act movie.

No comments: