Monday 21 April 2014

Chid Benz mbaroni kwa kumpasua mwanadada

Mwanadada aliyefahamika kwa jina la Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi "Msaada Garage" amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo fleva Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni kupelekea kushonwa nyuzi 18, tukio hilo lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka, na kwa mujibu wa chanzo cha habari hii Chidi Benz tangu usiku wa siku ya Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya mwanadadashosti huyo.
CHANZO:"Makorokocho Blog"
Mwanadada Aisha Sued anayeishi Ilala karibu na Kituo cha basi Msaada Garage amedai kuwa siku ya Pasaka ameshambuliwa na Msanii wa Bongo flava Rapper Chidi Benz na kuumizwa vibaya mdomoni hadi kushonwa nyuzi 18, Tukio hilo inasemekana lilitokea katika Bar moja iliyoko maeneo ya Ilala usiku wa sikukuu ya Pasaka, kwa wakati huu Chidi Benz Tangu usiku wa siku ya Pasaka tarehe 20 April 2014 ametiwa nguvuni na jeshi la polisi na yupo kituo cha polisi Pangani Ilala kwa madai ya Shambulio na kumuumiza vibaya Aisha Sued. - See more at: http://www.makorokocho.co/2014/04/chidi-benz-atupwa-selo-kwa-kumpasua.html#sthash.g7vz50oM.oKz1XmFH.dpuf

No comments: