Monday 17 March 2014

Picha: Hatimaye Drake na Rihanna waweka wazi mahusiano yao

Baada ya story kuzagaa mitandaoni kuwa wawili hao "Drake na Rihanna" ku'hang out pamoja kufuatia kuonekana wakiwa pamoja kwenye baadhi ya shows ambazo alikuwa akifanya Drake kwenye ziara yake barani Ulaya mwishoni mwa mwezi February. Wawili hao wamekuwa wakionekana wakiimba pamoja kwenye baadhi ya nyimbo na kuwa pamoja muda mwingi kabla na baada ya show. Mbali na kuwa Rihanna na Drake walishawahi kunukuliwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi hapo awali kabla ya Rihanna kutoka na Chriss Brown, kwa mujibu wa vyombo vingi vya habari vya huko barani Ulaya vimesibitisha na kurepoti kuwa hivi sasa wawili hao wameamua kuweka wazi mahusiano yao na kuwa kama zamani.
Je, unadhani couple hiyo inapendeza na itadumu?? Je, unadhani Chriss atazidisha uhasama na mkali Drake??
Baadhi ya vichwa vya habari kutoka mitandao mbalimbali kuhusu ishu hiyo
TIZAMA PICHA ZAIDI HAPA WAKIWA KWENYE SHOWS TOFAUTI

No comments: