Sunday 2 February 2014

Nameless ajiunga Twitter kisa kuitambulisha nyimbo yake mpya

Finally, top Kenyan singer nameless has gone digital; as he puts it. “I have finally joined twitter after many days of contemplating if I should. Follow @Nameless Kenya” he told pulse this week as he launched his new single African beauty, the first single off his new album B 4 I R (Abbreviation for Before I Retire). “This song is out and I want to let fans know that am back” he said It looks like the artiste has had a good way to start the year.
Read more at: http://www.standardmedia.co.ke/entertainment/pulse/article/4032/nameless-joins-twitter-as-he-releases-new-song
Hatimaye mkali wa kuimba kutoka nchini Kenya, Nameless aenda kidigital zaidi...Hii imetokana na msanii huyo kutoonekana kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii kama ilivyo kawaida kwa wasanii wengine wanavyojitangaza na ku'socialise na mashabiki wao kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii.

Msanii huyo hivi karibuni ameonekana kwenye mtandao wa twitter akiwa amejisajiri siku za hivi karibuni na kwa mujibu wa wadau wamesema lengo hasa la mkali huyo kujiunga na mtandao huo ni kuitambulisha single yake mpya "African Beauty" iliyomo kwenye album yake mpya inayoitwa "B4IR" (Abbreviation For Before I Retire).

Nameless ameandika..."I have finally joined twitter after many days of contermplating if I should. Follow @Nameless Kenya"..."This song is out and I want to let fans know that am back".

Hii inadhihirisha kuwa msanii huyo ameanza vizuri mwaka 2014 na anatarajiwa kufanya vizuri zaidi kwa mwaka huu mpya 2014.

No comments: