Monday 10 February 2014

Feb 11,imetimia miaka 24 tangu Nelson Mandela atoke jela

Leo February 11, ni miaka 24 imepita tangu aliyekuwa rais wa Afrika ya Kusini, marehemu Nelson Mandela kuachiwa toka katika gereza la Victor Verster alikokuwa akitumikia kifungo....siku hiyo alikuwa akisindikizwa na mkewe Nomzamo Winifride Zanyiwe "Winne Mandera".

R.I.P Nelson Mandela

No comments: