Friday 24 January 2014

Justin Bieber achezea lupango

Justin Bieber atiwa lupango kwa kosa la kuendesha gari akiwa na leseni iliyokwisha muda wa kutumika, na pia kwa kosa la kufanya mashindano ya magari kwenye njia ya makazi ya watu...
 Bieber akisongesha lupango
Kwa mujibu wa TMZ wameriport kuwa Bibber alikamatwa na polisi baada ya kufanya tukio hilo usiku wa kuamkia jana (alhamasi) akiwa na jamaa zake waliokuwa wakifanya mashindano hayo ambayo ni (drag racing) na kufikishwa kituo cha polisi mapema siku ya jana.
 Bieber na washkaji zake wakila bata

No comments: