Thursday, 10 October 2013

Mh Temba apata mtoto wa kiume

Leo kupitia mtandao wa kijamii (instagram), msanii kutoka kundi la wanaume TMK lenye maskani yake Temeke jijini DSM, Mh. Temba amepost picha ya mtoto wake wa kiume aliyezaliwa leo na kumpa jina la Melyvin...


Temba amemshukuru sana Mungu kwa kumpa mtoto...amepost "Thx god leo umenipa mtoto wa kiume . Ma baby bog melyvin welcome to the world"

No comments: