Wednesday 2 October 2013

Dada ampa kichapo jamaa baada ya kumuangusha kwenye dimbwi

Picha lilianza dada akivushwa kwa furaha zote na jamaa ambaye walikubaliana kumlipa kiasi cha pesa ili aweze kumvusha kwenye dimbwi la maji baada ya mvua iliyonyesha na kuziba njia katika eneo la Magomeni, Kagera - jiji DSM
Picha likabadirika toka kwenye furaha na kuwa ngumi baada ya dada kuangushwa na jamaa huyo
Wasamalia wakimtoa dada huyo kwenye dimbwi la maji aliloangushwa huku akilia na akiwa amelowana mwili mzima

No comments: